MICHAKATO

Levis Rocky Ndekeno

This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

Pages

Sunday, July 29, 2018

Ripoti: Mfumo wa uongozi WCB, mikataba ya wasanii pamoja na wanaomiliki hisa nyingi za kampuni

WCB ni moja kati ya label kubwa za muziki nchini Tanzania yenye mafanikio zaidi kutokana na ukubwa wa wasanii wake pamoja na uwekezaji walioufanya kwenye tasnia ya muziki wa BongoFleva. Label hiyo inaongozwa na rais wa label hiyo ambaye pia ni msanii, Diamond Platnumz akishirikiana na Manangers,Sallam...

Monday, August 14, 2017

Youtube yawezesha wateja wake kuchat na kushare video kwenye programu yake

Mwaka jana 2016 mtandao wa Youtube ulitoa taarifa kuwa utaboresha programu yake ili kuwapa urahisi watumiaji wake kushare video moja kwa moja wakiwa kwenye mtandao huo na kuchat live kwa video watakayokuwa wameishare. Habari nzuri ni kwamba tayari huduma hiyo imeshaingia barani Afrika kwa watumiaji...

Sunday, June 11, 2017

Makala: Saida Karoli amewachambua kama karanga Belle 9, Diamond na Darassa

Mwaka 2001 msanii wa muziki wa asili, Saida Karoli alitoa albamu yake ya kwanza ‘Maria Salome’ ambayo ilipata mafanikio makubwa na kuingia katika vitabu vya kumbukumbu vya muziki wa kitanzania. Albamu hiyo iliyochota vionjo tele vya kabila la Kihaya, mashabiki wengi waliipachika jina la ‘Chambua...

Sunday, May 21, 2017

Makala: Safari ya Nisher kwenye game

 Mwaka 2012 akiwa kama director mchanga anayechipukia kwenye game, Nisher alilazimisha macho yetu kutazama runinga ili kushuhudia video mpya ya Joh Makini ‘Sijutii’ ambayo aliifanya yeye. Maswali yakawa ni mengi juu ya ubora wa video ile, ila maswali mengi zaidi yalitaka kujua juu ya aliyetengeneza...

Thursday, April 6, 2017

Jifunze haya toka kwa Bilionea aliyekataliwa mara nyingi zaidi

Tujifunze kutoka kwa ‘Ma Yun’ maarufu kwenye ulimwengu wa biashara ya mtandao kama Jack Ma. Bilionea kutoka China mwanzilishi na mwenyekiti mtendaji wa Alibaba Group, moja ya familia ya biashara ya mtandao iliyofanikiwa zaidi duniani Jack Ma ni mtu wa kwanza kutoka China (Mainland China) kuonekana...

Monday, April 3, 2017

nchi 12 duniani zenye wafanyakazi wengi wa kike wenye elimu kubwa

Wanaharakati mbalimbali wa Haki za Wanawake duniani wanapambana kuhakikishaWanawake wanakuwa katika nafasi nzuri kazini, shuleni na popote inapowezekana ili kuwainua kiuchumi, kisiasa, kijamii na kiutamaduni. April 2, 2017 nimekutana na stori hii  ambayo inahusu...

Thursday, March 23, 2017

Ijue haki yako unapokamatwa na polisi

1. Askari akikuweka chini ya ulinzi muulize kitambulisho ni haki yako. 2. Askari akikukamata akuoneshe kitambulisho chenye muhuri wa mahakama kama anasema ametumwa na mahakama kukumata, ni haki yako. 3. Askari akikukamata akwambie kwanini anakukamata na anakupeleka kituo gani, ni haki yako. 4....