
Mabasi yaendayo kasi, yameanza kufanya safari zake katikati ya jiji la Dar es Salaam Ijumaa hii.
Jumla ya mabasi 50 yameingia barabarani. Kwa wewe ambaye hujui njia mbalimbali za mabasi hayo, chini ni sehemu yanapopita.
1) RUTI YA KIMARA- KIVUKONI Mabasi Sita (6). Kati ya mabasi Hayo sita...