Amiri Jeshi
Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mh. Jakaya Mrisho Kikwete
akiingia kwenye uwanja wa Uhuru kuwaongoza watanzania katika maadhinimisho ya
miaka 50 ya uhuru wa Tanzania yanayofanyika kila mwaka Aprili 26 kusherehekea
muungano wa Tanganyika na Zanzibar Aprili mwaka 1964 watanzania wengi
wamejitokeza katika maadhimisho hayo wakiwemo viongozi mbalimbali na marais wa
nchi mbalimbali za Afrika na wawakilishi wa nchi mbalimbali pia katika mataifa
mbalimbali ya Ulaya,
Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Rais Yoweri Mseveni wa
Uganda katikati nI King Mswati wa Swaziland na kushoto ni Rais Piere
Nkurunzinza wa Burundi.
Kikosi cha Makomandoo kikionyesha ukakamavu na kuonyesha
uwezo wake katika mapambano ya Karatee na
mbele ya Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete.