
Mwaka 2001 msanii wa muziki wa asili, Saida Karoli alitoa albamu yake ya kwanza ‘Maria Salome’ ambayo ilipata mafanikio makubwa na kuingia katika vitabu vya kumbukumbu vya muziki wa kitanzania.
Albamu hiyo iliyochota vionjo tele vya kabila la Kihaya, mashabiki wengi waliipachika jina la ‘Chambua...