MICHAKATO

Levis Rocky Ndekeno

This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 2 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 3 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 4 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

This is default featured slide 5 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

Pages

Tuesday, May 27, 2014

Muigizaji Rachel Haule afariki dunia asubuhi ya Leo.



Habari zilizotufikia muda huu ni kuwa muigizaji  wa filamu nchini Rachel Haule amefariki dunia asubuhi hii. Chanzo kimoja kilicho karibu na muigizaji mmoja ambaye ni rafiki wa karibu na Rachel amewema kuwa kuwa Rachel amefariki wakati akijifungua na mtoto pia amefariki. Tutawaletea taarifa zaidi ya msiba huu tukifika nyumbani kwa muhusika. Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi. Amen

Saturday, April 26, 2014

MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR YAFANA


Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mh. Jakaya Mrisho Kikwete akiingia kwenye uwanja wa Uhuru kuwaongoza watanzania katika maadhinimisho ya miaka 50 ya uhuru wa Tanzania yanayofanyika kila mwaka Aprili 26 kusherehekea muungano wa Tanganyika na Zanzibar Aprili mwaka 1964 watanzania wengi wamejitokeza katika maadhimisho hayo wakiwemo viongozi mbalimbali na marais wa nchi mbalimbali za Afrika na wawakilishi wa nchi mbalimbali pia katika mataifa mbalimbali ya Ulaya, 

Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Rais Yoweri Mseveni wa Uganda katikati nI King Mswati wa Swaziland na kushoto ni Rais Piere Nkurunzinza wa Burundi.


Kikosi cha Makomandoo kikionyesha ukakamavu na kuonyesha uwezo wake katika mapambano ya Karatee na  mbele ya Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete.


Monday, April 21, 2014

Remnant Christian Centre: PICHA:Uzinduzi wa kanisa la Remnant Christian Cent...

Remnant Christian Centre: PICHA:Uzinduzi wa kanisa la Remnant Christian Cent...:  Dr. Poul Shemsanga akiwa na Askofu Menard Ndekeno, na Mwinjilisti wa kanisa Kalori    Dr. Poul Shemsanga akiwa na washirika wa kanisa ...

REMNANT CHRISTIAN CENTRE

Monday, April 14, 2014

Saturday, April 12, 2014

PICHA: Athari za mvua jijini Dar es Salaam

Tokana na mvua zinazoendelea kunyesha maeneo mbali mbali ya Dar es Salaam, zimepelekea uharibufu wa barabara na mazingira.

Haya ni maeneo ya jiji la Dar es Salaam yaliyoathirika na mvua inayoendelea kunyesha na kusababisha usumbufu mkubwa kwa wakazi hasa wanaoishi bondeni au kwenye mkondo wa maji mfano mito.




HIVI NDIVYO MAFURIKO YALIVYO MKUMBA LADY JAY DEE


NAKALA MPYA YAJA JUNE2014

m
ni hadithi inayomuhusu kijana mmoja aitwae Johnson baada ya msukosuko mingi kupitia hatimaye afanikisha malengo yake. je unataka juwa nini kinaendelea usikose nakala yako ifikapo June.