Monday, June 9, 2014
Ubakaji 'Silaha ya vita'
Viongozi wa
kimataifa wanakutana jijini London kwa wiki nzima, kwa kongamano la kumaliza
dhulma za kimapenzi katika mataifa yanayokabiliwa na mizozo.Mkutano huo, wa
siku nne umeandaliwa na Waziri wa masuala ya nchi za kigeni wa Uingereza,
William Hague na muigizaji maarufu na mjumbe maalum wa Umoja wa mataifa,
Angelina Jolie. Kongamano hilo linajiri huku mataifa kadhaa barani Afrika
yakikabiliwa na changamoto ya kumaliza ubakaji unaotumiwa kama silaha ya
kivita. Ni mwanzo wa kuidhinishwa kampeni ya miaka miwili kutoa uhamasisho
kuhusu kutumiwa kwa ubakaji na unyanyasaji wa kimapenzi kama silaha wakati wa
vita. Waandalizi wa kongamano hilo wanasema wanataka huu uwe wakati ambapo
ulimwengu utazinduka na kutangaza kwamba unyanyasaji wa kimapenzi sio jambo
lisiloweza kuepukika wakati wa vita. Ujumbe ni ubakaji sio jambo lisiloweza kuepukika
wakati wa vita. Uwajibikaji wa kimataifa Tangu William Hague na Angelina Jolie
wazinduwe kampeni hiyo, mataifa mia moja na arobaini na nane yameidhinisha
azimio la uwajibikaji wa kumaliza unyanyasaji huo wa kimapenzi katika mizozo. Lakini
lengo sasa ni kuchukua hatua madhubuti, kuendeleza uchunguzi na kuripotiwa kwa
visa hivyo vya unyanyasaji wa kimapenzi. Pia katika kutoa usaidizi zaidi kwa
waathiriwa na kuhakikisha kuwa usawa wa kijinsia unahimizwa katika operesheni
za siku zijazo za kulinda amani. Kiwango
cha jukumu hilo ni kikubwa: katika miaka ya tisaini, vita vya Bosnia
vilisababisha kuwepo takriban waathiriwa elfu hamsini wa unyanyasaji wa
kimapenzi. Takriban miongo miwili tangu vita hivyo vimalizike, ni wahalifu
wapatao 60 pekee walioshtakiwa.
Wanawake 20 wanaume 3 watekwa Nigeria
Wapiganaji wanaoshukiwa kuwa wanachama wa Boko Haram
wamewateka nyara wanawake 20 kutoka jamii inayohamahama Kaskazini Mashariki mwa
Nigeria.
Wanawake hao walichukuliwa katika Makazi ya Gakini Fulani
karibu na mji wa Chibok ambako zaidi ya wasichana wanafunzi 200 walitekwa nyara
Aprili, mwaka huu.
Walioshuhudia tukio hilo walisema kuwa wapiganaji hao
waliokuwa wamejihami kwa bunduki waliwalazimisha wanawake hao kuingia katika
magari yao kabla ya kutoroka nao katika Jimbo la Borno.
Mlinzi mmoja wa kijiji alisema kuwa washambulizi hao pia
waliwateka nyara wanaume watatu waliojaribu kuwazuia wasiondoke na wanawake
hao.
Hadi sasa jeshi halijasema lo lote kuhusiana na tukio hilo.
Shambulio hilo lilitokea katika mji wa Chibok ambako
wapiganaji wengine wa silaha waliwteka nyara zaidi ya wasichana 200 wanafunzi
Aprili, mwaka huu.
Wakati huo jeshi la Nigeria limesema kuwa limewaua
wapiganaji 50 katika kampeni yake dhidi ya magaidi mwishoni mwa wiki katika
majimbo la Borno na Aladawa.
Mfululizo wa mashambulizi Kaskazini Mashariki mwa taifa hilo
umeimarisha ukosoaji wa vyombo vya usalama vya Serikali.
Licha ya kuwepo kwa hali ya hatari katika eneo la Kaskazini
Mashariki mwa Nigeria wanajeshi hawajachukua hatua dhabiti na wakati mwingine
hawapo wakati washambulizi wanaotekeleza uhalifu wao
Wednesday, May 28, 2014
Polisi nchini Brazil wametumia gesi ya kutoa machozi kuwatawanya waandamanaji katika mji mkuu Brasilia wanaopinga kuandaliwa kwa kombe la dunia nchini humo.
Polisi
walipigwa kwa mawe huku mamia ya waandamanaji wakijaribu kufika uwanja wa
kitaifa ambako kombe litakalopokezwa washindi wa kinyang’anyiro hicho
limewekwa.
Haya ni
maandamano ya hivi karibuni nchini Brazil kupinga gharama iliyotumiwa kuandaa
kombe hilo.
Maafisa
wakuu wanasema kuwa karibu watu 1,500 walihudhuria maandamano hayo
yaliyofanyika Jumanne.
Waandamanaji
hao walijaribu kwenda katika uwanja wa kitaifa ambao utakuwa mwenyeji wa mechi
kadhaa za kombe la dunia ingawa polisi waliwazuia.
Polisi mmoja
alijeruhiwa kwa mshale uliorushwa na mmoja wa waandamanaji wakati wa
makabiliano kati ya polisi na waandamanaji hao. Waandamanaji hao walitatiza
pakubwa msongamano wa magari mjini Brasilia kwa masaa kadhaa. Mwaka jana
takriban watu milioni moja walishiriki maandamano kote nchini humo kutaka
huduma bora zaidi za umma na kulalamikia ufisadi na gharama ya juu iliyotumiwa
kuandaa kombe la dunia.
Exclusive: Ray na JB kufanya filamu nchini Uturuki kutafuta nani mkali kati yao
Wasanii wakongwe wa filamu nchini, Jacob Stephan aka JB
pamoja na Vicent ‘Ray’ Kigosi wanaandaa filamu nchini Uturuki itakayoonesha
nani yupo juu zaidi kati yao.
Ray na JB wakiwa na mavazi ya Turkish
Akizungumza
na Bongo5 jana, Ray amesema kuwa kila mmoja kati yao ana uwezo binsfsi katika
kazi ya filamu kwaHiyo filamu hiyo itaamuru nani yupo juu.
“Mimi
nilikuwa na movie na JB na tukaanza kushoot kule (Uturuki) lakini matokeo ya
msiba wa Adam Kuambiana, tukasitisha zoezi na kuamua kutafuta tiketi kwa pamoja
as a group za kuja kwenye masiba,lakini kwa bahati mbaya tukapata tiketi moja
tu ambayo tukajadili kwa pamoja tukaona atuwakilishe JB,” amesema Ray. “Sisi
tuna utaratibu wa kufanya kazi, zamani nilikuwa na utaratibu na marehemu Steven
Kanumba ya kufanya kila mwaka sinema moja na kupimana ubavu kwenye filamu moja,
kwahiyo baada ya kufariki Kanumba nikapanga na JB kila mwaka kutengeneza filamu
moja ndio hiyo ambayo tumeianza na mambo ya misiba yakiisha tutarudi tena
Uturuki kwenda kumalizia kazi. Hii ni mojawapo ya biashara na kuwatendea haki
mashabiki wetu wa Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla kwa sababu tunapata
comments nyingi sana kwenye Instagram, Facebook na Twitter kwamba hebu jaribuni
kucheza filamu moja Ray na JB tumuone nani zaidi. Nimecheza naye filamu nyingi
lakini kwa kipindi hicho lakini kwa kipindi hiki kila mtu yupo juu. Ukiangalia
JB amehit na mimi nipo juu pia kwahiyo tunahitaji kumtambua nani zaidi.”
Nicki Minaj prepares 'next level' new album for 2014 release
Nicki Minaj has said she will release a new album in 2014, describing the sound of her material as "next level".
The US rapper last released an album in 2012 when she put out 'Pink Friday: Roman Reloaded'. Discussed its follow up with New York radio station Power 105, Minaj says she was surprised at how different her new music is as well as making her opinion on Kendrick Lamar's controversial 'Control' verse heard.
Discussing her new music, Minaj said: "I've already started... 2014 definitely! It's very different from anything I've done, which I'm surprised about. I'm not feeling like I did this. I feel like this is next level."
Moving on to Lamar, Minaj claimed that she should have been in the list of top rappers mentioned in the track. "I'm probably in the top five he did mention so go and do your research. Straight up and down," she said. "I also feel like maybe he is one of the respectful gentleman that probably wanted to feel like I didn't want to say a females name. I'm the queen of New York, I'm the king of New York," she continued. "Let me tell you why. Platinum albums, plural. Number one in five motherfucking countries. Don’t play with me. You better respect my motherfucking gangster, bitch."
Lamar caused a furore when 'Control (HOF)' premiered in August. After proclaiming himself king of New York, and himself, Jay Z, Nas, Eminem and Andre 3000 as the greatest MCs of all time, Lamar then goes on to pledge to "murder" his current competitors, including A$AP Rocky and Drake, in the verse.
Nicki Minaj released her debut album 'Pink Friday' in 2010. Despite not releasing any new music in 2013, she has featured on tracks by artists including French Montana, Chris Brown and Ciara.
Multiple award winner, and east africa’s most acclaimed gospel star Rose Muhando to releases her highly anticipated fifth studio album tittled ‘YESU KUNG’UTA’ on the 15th of december as a physical album across all official east african gospel music retail networks and shops in Uganda, Kenya, Tanzania, Rwanda, Burundi, DRC and Zambia, includind all major digital stores worldwide and in addition as part of the new ‘Rose Muhando Club’. Wednesday, 11th December 2013:SONY MUSIC ENTERTAINMENT AFRICA and ROCKSTAR4000 are proud to announce the highly anticipated new album release by East Africa’s most acclaimed Gospel Music singer-songwriter Rose Muhando. Rose’s new album titled “Yesu Kung’uta” will lead with the release of the first single from the album titled ‘Wololo’ in both audio single and music video formats to radio, television, online in East African and other worldwide digital stores. ‘Wololo’ will debut this weekend, Sunday the 15thof December. Rose Muhando was born in 1976 and was raised in Dodoma, Tanzania. On being deathly ill, Rose converted to Christianity, this moved to leading the choir at her local church and her meeting Nassan Wami that prompted her first album recording. Today Rose lives between Dar Es Salaam and Dodoma where her career has flourished over the past 10 years. To date, Rose’s previously released albums shattered physical sales records, selling over 7 million copies. In Kenya alone Rose is the most downloaded artist in the history of the mobile telephony giant, Safaricom, with sales of more than 5 million units to date. This magical voice has not been restricted to Tanzania and she has toured extensively across the African continent, covering cities in Kenya, Mozambique, South Africa, Malawi. Congo & Uganda. Rose has also been well received in the United States. Rose Muhando is undoubtedly one of Africa’s biggest selling and most acclaimed gospel artists, with millions of fans throughout East Africa and her home country Tanzania. Rose Muhando has received many awards over the past few years including best composer, best singer and best album of the year. She has participated in Gospel concerts to help raise funds for a Dar Es Salaam children orphanage and graced the stage of venues all over East Africa and beyond to audiences of thousands, all in the name of Jesus Christ. Rose signed a multi-album recording deal with Sony Music, and a full services management-deal with Sony Music and ROCKSTAR4000, and a worldwide Publishing deal with RockStar Publishing. Rose is also a proud mom of 3 children Sheheba, Maxmillian and Nicholas Winton. Wath her video here. http://www.youtube.com/watch?v=CT1g_QwPtIc
Multiple award winner, and east africa’s most
acclaimed gospel star Rose Muhando to releases her highly anticipated fifth
studio album tittled ‘YESU KUNG’UTA’ on
the 15th of december as a physical album across all official east african
gospel music retail networks and shops in Uganda, Kenya, Tanzania, Rwanda,
Burundi, DRC and Zambia, includind all major digital stores worldwide and in
addition as part of the new ‘Rose Muhando Club’.
Wednesday, 11th December 2013:SONY MUSIC
ENTERTAINMENT AFRICA and ROCKSTAR4000 are proud to announce the highly
anticipated new album release by East Africa’s most acclaimed Gospel Music
singer-songwriter Rose Muhando. Rose’s new album titled “Yesu Kung’uta” will
lead with the release of the first single from the album titled ‘Wololo’ in
both audio single and music video formats to radio, television, online in East
African and other worldwide digital stores. ‘Wololo’ will debut this weekend,
Sunday the 15thof December.
Rose Muhando
was born in 1976 and was raised in Dodoma, Tanzania. On being deathly ill, Rose
converted to Christianity, this moved to leading the choir at her local church
and her meeting Nassan Wami that prompted her first album recording.
Today Rose
lives between Dar Es Salaam and Dodoma where her career has flourished over the
past 10 years.
To date,
Rose’s previously released albums shattered physical sales records, selling
over 7 million copies. In Kenya alone Rose is the most downloaded artist in the
history of the mobile telephony giant, Safaricom, with sales of more than 5
million units to date. This magical voice has not been restricted to Tanzania
and she has toured extensively across the African continent, covering cities in
Kenya, Mozambique, South Africa, Malawi. Congo & Uganda. Rose has also been
well received in the United States.
Rose Muhando
is undoubtedly one of Africa’s biggest selling and most acclaimed gospel
artists, with millions of fans throughout East Africa and her home country
Tanzania. Rose Muhando has received many awards over the past few years
including best composer, best singer and best album of the year. She has
participated in Gospel concerts to help raise funds for a Dar Es Salaam
children orphanage and graced the stage of venues all over East Africa and
beyond to audiences of thousands, all in the name of Jesus Christ.
Rose signed
a multi-album recording deal with Sony Music, and a full services
management-deal with Sony Music and ROCKSTAR4000, and a worldwide Publishing
deal with RockStar Publishing. Rose is also a proud mom of 3 children Sheheba,
Maxmillian and Nicholas Winton.
Wath her
video here.
http://www.youtube.com/watch?v=CT1g_QwPtIc


















