Zipo
taarifa kuwa Ikulu kesho
imetoa mwaliko kwa wanahabari
nchini na yawezekano wito huo ukaenda
sanjari na kutangaza mawaziri
walioteuliwa kuziba nafari za
mawaziri wanne waliotenguliwa nafasi
zao na ile ya aliyekuwa
waziri wa fedha
marehemu Dr Wiliam Mgimwa
ama yawezekana wito huo ukawa wa tofauti na hayo kwani
yote yanawezekana ila
tuombe tufike salama kesho
jumapili
............................................
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Katibu Mkuu Kiongozi na Mkuu wa Utumishi wa
Umma, Balozi Ombeni Y. Sefue ambaye ni Katibu wa Baraza la Mawaziri, kesho,
Jumapili, Januari 19, 2014, saa 5 asubuhi atazungumza na waandishi wa habari
katika mkutano utakaofanyika Ikulu, Dar es Salaam.
Imetolewa na:
Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
Ikulu, DAR ES SALAAM.
18 Januari, 2014
0 comments:
Post a Comment