Mr Amou Haji
ni raia wa Iran mweye miaka 80, ambaye amevunja rekodi ya kutooga kwa miaka 60
na kuwa ndiye mwanaume mchafu kuliko wote duniani.
Kwa wale
single ladies, Haji yuko single na anahitaji mpenzi, lakini mwanamke ambaye
atapenda kuwa naye ni lazima akubaliane na lifestyle yake.
Mr Haji
hupendelea kusmoke, na ili arelax hupenda kuvuta kiko chenye kinyesi cha
wanyama. Upande wa chakula hupendelea kula nyama zilizooza za wanyama
waliokufa, pamoja na maji lita tano kwa siku kwa kutumia kidumu cha mafuta
chenye kutu. Chakula anachokipenda zaidi ni Nungu nungu aliyeoza. Mr. Haji pia
anapohitaji kupunguza nywele zake huzichoma kwa moto.
Rekodi ya
mwanaume aliyekaa muda mrefu bila kuoga iliyovunjwa na Mr Haji iliwekwa na
mwanaume wa India Kailash Singh (66), aliyeishi bila kuoga kwa miaka 38.
0 comments:
Post a Comment