MICHAKATO

Levis Rocky Ndekeno

Pages

Tuesday, January 21, 2014

Uganda yaunda kikosi maalum

Wanajeshi wa Uganda, wamekuwa wakiwasaidia wanajeshi wa Sudan Kusini kupambana na wapiganaji wa waasi, kwa muda wa mwezi mmoja uliopita.
Mwandishi wa BBC mjini Kampala anasema amesema kuwa huenda serikali ya nchi hiyo inataka kushirikishwa katika majukumu kama hayo siku zijazo.
Wanajeshi wa Uganda vile vil vile wanatunza amani nchini Somalia na Jamuhuri ya Afrika ya Kati.
Wanajeshi hao pia wamewahi kuhudumu nchini Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo na Rwanda.
Muungano wa Afrika umekuwa na mpango wa kuunda kikosi maalum cha kukabiliana na majanga na mizozo, lakini pendekezo hilo halijaidhinishwa na vingozi wa serikali za nchini wanachama wa muungano huo wa AU.


0 comments:

Post a Comment